TABORA: WANANCHI na wajasirimali wakiwemo wanawake kutoka katika vikundi vya ufugaji nyuki wilaya za Sikonge , Urambo na Kaliua mkoani Tabora wamejengewa mazingira bora ya ufugaji kwa kutumia teknoloj ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Afisa mwandamizi wa Ukraine amezungumzia kuhusu jukumu muhimu la teknolojia ya kidijitali, ikiwa ni pamoja na akili unde, ...
Je, una orodha ndefu ya manunuzi unayohitaji kukumbuka? Au majina ya wageni wa mkutano muhimu? Kuna mbinu za kumbukumbu tunazotumia kufundisha ubongo ili ufanye kazi vizuri zaidi. Hii ni njia ...
Wakulima wa eneo la Mbeere , kaunti ya Embu nchini Kenya wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuletewa teknolojia ya kisasa ya kuimarisha kilimo cha kumwagilia maji. Mashine hiyo ni rafiki kwa ...
USWISI - Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki ameongoza ushiriki wa Tanzania katika Maadhimisho ya ...
Serikali ya Ujerumani na Tanzania kwa pamoja zimezindua wiki ya ubinifu wa Teknolojia ya Kijani kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa maji na majitaka kwa kutumia teknolojia. Wiki ya ubunifu wa ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...
Katika Taasisi ya Ujuzi ya Maendeleo ya Kazi- UICD- iliyoko Mashariki mwa jiji la Nairobi,nchini Kenya vijana wanajifunza ubunifu mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Akili mnemba yaani artificial ...